george de hero
Senior Member
- Jul 7, 2013
- 122
- 14
kampose kwa mumewe
Jamani mbavu zangu... Nimeipenda hiyo
jamani wana jf me nilikuwa na kademu kangu ka mitaa ya nyakato mwanza jina***ila baada ya kumaliza ckul pale mhandu tulitengana sikuweza kupata hata namba yake ya cm wala kumuona tena huyu dear mama kiukwel nilimpenda sana si utani naye pia alinipenda sana tuu....sasa hapa juzi kati nimebahatika kupata her 4n number ila kaniambia ameolewa na ana mume wake na hatak mazoea na mimi ila bado nampenda sanaaa jaman nifanye nin ili nimrudishe zizin tena huyu du jaman nampenda kinoma ati....?

Huyo jamaa anapolenga ishanipa wasi wasi inabidi tushirikiane kumkamataUmeona eee!! We murugalama kuwa makini inawezekana ma mdogo kuna ka jamaa kanamrubuni, ndo chanzo cha kibur hicho. Au ulimtake over jamaa wa kule mkuyin?? Sasa kaja kasi, angalia usijeletewa posa kwa mkeo sijui itakuwaje
Itajulikana tu.
Angekuwa mme wa mtu ningesema maziwa, ila huyo ni mke wa mtu ni SUMUUUUU......!