kupenda huku shida/raha

kupenda huku shida/raha

aziraji

Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
57
Reaction score
8
kuna jamaa yangu ana madem 2 amekua na mahusiano nao ya kimapenz toka 2013 lakin kati ya hao 1 ndo anampenda tatizo ra huyo dem anpenda pesa sana hiyu wa 2 hampendi sana lakin huyo dem anampenda sana tatizo rake hana mda wa kumridhisha mpemzi wake kama wewe utamshauri amfanyeje ؟
 
Sijaelewa tatizo RAKO
 
ki ukweri sijaerewa......rete tena......
 
Kwani wewe unaushauri gani kwake? au unataka kumsaidia sababu ni rafiki yako?
 
Kizungu shida,kiswahili shida dah malengo ya milenia yanachangamoto nyingi.

Unajua tatizo la humu ndani.......ni watu kutokujiamini.......wewe issue ya mshkaji wako inakuhusu nini......kwani mtu akisema.....mimi nina tatizo hili na hili hasaidiwi......!!...mpaka mtu aseme nina rafiki....sijui shangazi yangu......sijui nani.....inahusu.....
 
kuna jamaa yangu ana madem 2 amekua na mahusiano nao ya kimapenz toka 2013 lakin kati ya hao 1 ndo anampenda tatizo ra huyo dem anpenda pesa sana hiyu wa 2 hampendi sana lakin huyo dem anampenda sana tatizo rake hana mda wa kumridhisha mpemzi wake kama wewe utamshauri amfanyeje ؟

Ningeshauri ujifunze kuandika kwanza.
 
maisha ni fikra na changamoto hv we utakuaje na m2 ambae hakuridhishi kimpenzi na utakuaje na m2 anae kuridhisha akin kwa mashart ya pesa?
 
Kwa kweri najiuriza tumshauri afanyaje sierewi. Rabda wewe umewaza nini juu ya hiri kwa sababu hiyo ni baraa!
 
Na rihusika ritakua ni riwewe,harafu unatukosha na rimaneno rako
 
Quote inahusika.
 
Attachments

  • 255717047045.jpg
    255717047045.jpg
    45.4 KB · Views: 174

Similar Discussions

Back
Top Bottom