Kupenda harufu ya........


mmh,mie napita tu.:kev:
 

anakutafutia sababu huyo kuwa makini bishosti utakuja soon tu na uzi wakukimbizana yaani kutemana..
 
MBona hapo hakuna cha ajabu? Wengine tunapenda kuvaa nguo za waume zetu ambazo wamevua unafikiri ni nguo inahitajika ama ni ile harufu ya jasho lake.
 
Anakupima kama unaliwa papuchi huyo ohoo! We shangaashangaa tuu

"To know the enemy is half the victory"
 
Sioni Matratrizo hapo, hata mie nakapenda ka mama nanihii na nikihitaji napeleka pua hadi nipate usingizi....Ngoja niachie hapa isije tokea napeleka bangi kwa Chagonja
 

Hapewi?akinusa tu anaondoka?
 
Jambo la kawaida hilo! Inajulikana kama "armpit Psychology: the science of body odor perception".
 
Huyo jamaa ana tabia ya mbuzi dume au ana nyota ya mbuzi
 
Usishangae! Ni asili ya wanyama.... hata mie napenda...teh!
 
hiyo ndio best unique character yake...! Enjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…