Nina demu wangu na tayar ana ujauzito wangu na anadai nimuoe,na bado cjaanza kazi,naona ngumu kwa sasa but nina mpango wa kumuoa.na yeye analazimisha nimuoe siku hizi za karibun.je nifanyeje wana jf?
kha!! hizi story za kushika mimba zimekuwa nyingi sana...sasa mwana huyo hamna kumuoa maana amekutegeshea ili umuoe sasa wewe usimuoe...ila kubali kuwa mtoto ni wako.
Gud kaka nimeupenda sana ushauri wako huyu jamaaa anakuwa kama hazimtoshi vile!:fencing:kama unafikiri kutokuwa na kazi kunazuia kuoa vile vile ulipigaje bao wakati huna kazi?mtu makini yeyote anaplan mambo yake ,kwa hiyo ulikuwa unacheza show peku ukithani utapata kazi au mtoto kwa hiyo huyo mwanamke ukimwacha na mimba yake yeye anakazi? acha utoto,timiza majukumu yako unataka nani aoe masalia yako nyinyi ndio mnaotuletea watoto wa mitaani.
thanksGud kaka nimeupenda sana ushauri wako huyu jamaaa anakuwa kama hazimtoshi vile!:fencing:
Nina demu wangu na tayar ana ujauzito wangu na anadai nimuoe,na bado cjaanza kazi,naona ngumu kwa sasa but nina mpango wa kumuoa.na yeye analazimisha nimuoe siku hizi za karibun.je nifanyeje wana jf?
Nina demu wangu na tayar ana ujauzito wangu na anadai nimuoe,na bado cjaanza kazi,naona ngumu kwa sasa but nina mpango wa kumuoa.na yeye analazimisha nimuoe siku hizi za karibun.je nifanyeje wana jf?
huonewi bwana...sasa wewe kukugegeda kavu sii makubaliano y dnt u say no sitaki kugegedwa kavu?
nionavyo si jambo zuri kumuoa sasa kwani utakua umemuoa kisa mimba na kule kulazimishwa naye,hata hivyo kwanini akulazimishe cha msingi ni wewe kukubali kwamba utatekeleza majukumu yako ya ubaba hapo atakapojifungua halafu maswala ya ndoa yafuate baadae ukiwa umeshajipanga maana kuwa mwanaume haitoshi kuwa baba unatakiwa kujiandaa maana kama huna shuguli ya kufanya hata huyo mke utamhudumiaje jipange
hiv ni kugegedwa au kugegedana? I min nan anagegedwa wakat wote mnashirikiana?
Toa ushauri wa ki utu uzima wewe! hivi alipo kuwa anakula raha alitegemea nini? kaka muoe tuu acha kupokea ushauli mmbovu kama ni kazi utaipata mbele ya safari ok! siku njema.............:shut-mouth:
ndio maana mie nilishaliona hilo kuwa my thinking na thinking ya wanawake haziendani wen it comes to that matter nimejiamulia nitulie pembeni na malaya wangu.....hapo hamna sijui nina mimba altho utamu orijino sitaupata