Kupenda bwana


ndio maana mie nilishaliona hilo kuwa my thinking na thinking ya wanawake haziendani wen it comes to that matter nimejiamulia nitulie pembeni na malaya wangu.....hapo hamna sijui nina mimba altho utamu orijino sitaupata
 
Nina demu wangu na tayar ana ujauzito wangu na anadai nimuoe,na bado cjaanza kazi,naona ngumu kwa sasa but nina mpango wa kumuoa.na yeye analazimisha nimuoe siku hizi za karibun.je nifanyeje wana jf?
Usimuoe kwa sababu ya kumuonea huruma kuwa ana mimba yako ila muoe kwa sababu unampenda, maana maisha baada ya hiyo siku ndoa ndio ya kuzingatia kuliko hata siku hiyo ya ndoa, Hata ukishaoa haimaanishi ucheze hovyo hovyo maana unaweza kuwa na idadi kubwa watoto usio watarajia halafu ukaanza kuwaza kumkimbia tena mkeo na watoto pia,
 
Sikumbuki kama pana mila yeyote inayomlazimisha mwanamume awe na kazi ndipo aoe!
 
Ogopa sana utauziwa mbuzi kwa g unia usiende faster utakuja sema zembeta alisema.
 
kwanini watu hampendi kutumia condom?????!!!!!!

kwani hujui mwanaume wa ukweli anatumia dume??
Ila hao wababaishi.
Sasa mtoa mada we muoe tu sisi tutafanya donation hapa kila mwezi ili maisha yaende.
Au unataka tukusaidieje looo
 
kama ni bachelor ya education,ajira zenu si zinatoka january,wasiwasi wa nin mkuu?

siyo mwalimu huyo ni mtu wa it au muhasibu imagine sasa mpaka mtoto anaanza kutembea yeye anatafuta kazi tu
 
Ungependa uwe na nini kwanza ndio uoe? Maisha anapanga mungu, kama usipopata unachokitaka kabla hujaoa, hautaoa mpaka kaburini? Oa tu endelezeni maisha, manake mlishayaanza. Ila mimba ni yako kweli? Pata experience yangu, soma post yangu "NIMEPAKAZIWA MIMBA NIFANYEJE?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…