Kupenda bila kutamani

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Swala la kupenda ni jambo muhimu sana katika maisha ya binadamu na ni mojawapo kati ya mahitaji muhimu sana ya kijamii kwa mwanadamu. Kila mtu anahaki ya kupenda na kupenda. Kwa upande wa upendo wa jinsia tofauti hasa ule wa kimapenzi swala la kupenda ni tofauti na upendo wa kawaida, na umekuwa na mikanganyiko mingi hasa katika hatua zake. Je ukweli ni upi..kipi kinatangulia kati ya kupenda au kutamani? Je, Unaweza kumpenda mtu bila kumtamani?
 
> Kama unampenda utatamani kuwa nae. unaweza kutamani bila kupenda, na huwezi kupenda bila kutamani
 
Unaweza kupenda bila kutamani...sababu huwezi kutamani bila kupenda.
 
Hapa kinachotangulia ni tamaa. kutamani huwa huanza kwa kuona kusikia kuhisi au kuwazia. na baadaye swala la kupenda au kutokupenda ni matokeo ya kile ulicho tamani.

kwenye swala la mahusiano, mara nyingi hutokea matokea tofauti hasa pale unaposhindwa kuhimili baadhi ya tabia za mwenzako. huwa kila mwanadamu ana utashi unaompa kutamani kuwa na mwenza anaye aminika na kusifiwa kwa mema na mazuri. hivyo zikikosekana sifa hizo, huwa tamaa au hamu huisha na upendo hapo hautafikiwa..

nadhani kwa ufupi nitakuwa nimekulewa.
 
Very much possible waweza kumpenda mtu bila kumtamani. I think love comes first and then kutamani later, if goes otherwise, utakuwa ngono ndio shinikizo la hayo MAPENZI
 
Let Upendo utangulie tamaa for a true luv, ila kama lengo ni just night stands, then tamaa haina hata haja kuwa na upendo!!
 
Very much possible waweza kumpenda mtu bila kumtamani. I think love comes first and then kutamani later, if goes otherwise, utakuwa ngono ndio shinikizo la hayo MAPENZI

may be, i think its ony psbl only for true love because it wll never ask why..
 
Unajua kuna vitu kiuhalisia ni ngumu kuvisema...unaweza kukuta mtu keshampenda mdada au mkaka na kwa moyoni anampenda sana kuwa ndo chaguo lake...then inapotokea akamwona mwingine akatamani kuwa nae faragha ila kwa moyoni yule wa mwanzo bado ndo chaguo lake...mi nasema hapo amemtamani tu...na km wakiendelea kuwa na mahusiano ipo siku waweza kuta wanaanza kupendana sana....hata nafasi ya yule wa kwanza ipotee....
Ila Kutamani ndo huwa kunaanza then kupenda....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom