kombokokingachi
Member
- Feb 10, 2012
- 14
- 3
Habari zenu wakuu....
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu au mafundi ujenzi gharama za kupaua nyumba ya vyumba viwili vya kawaida vya kulala,master moja,choo na bafu vya public,dinning na sebule,stoo na jiko...
Je, kwa makadirio zitahitajika bati ngapi,mbao ngapi.
Angalizo: Nataka kupaua kwa kutumia mabati ya migongo mipana gage 28 na mbao za treated.