Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,201
Kwenu wanawake wa MMU, habarii..
Nauliza, hivi zile sifa za mrefu, mweusi flani, nk hamtaki tena. Naona siku hizi kigezo kikuu ni 35+
Kibaya zaidi eti awe single, asiwe na mtoto zaidi ya1, najiuliza, wanaume wa umri huo kwa kigezo hicho hivi bado wapo kweli. Niamini, mwanaume wa umri huo na kweli akawa na vigezo hivyo basi amini anamatatizo yake (Nay wa Mitego)
Mwanaume na mvulana hawatofautishwi kwa umri, kuna vijana wadogo (wavulana) wenye tabia za KIUANAUME na pia kuna wanaume watu wazima lakini wakawa na tabia za kivulana.
Muache kupeperushia wenzenu ndege kwa kigezo cha umri.
NB;
Uzi huu haunihusu kwa namna yeyote.