Kupatwa kwa mwezi January 10 2020 usiku

da mimi jana nimeangalia mpaka naenda kulala saa nne sijaona tukio alioona mniambie kama limetokea kweli
 
Hata sijui nadhani TMA watakuja na ufafanuzi

Jr
Jana nilikuwa na shughuli zangu flani
Sikuwa nimelala mpaka saa 7 na nusu hivi na sikuona hata dalili
Nikaikaingia ndani kujipumzisha kidogo mpaka saa 10 nikaamka kuendelea na kazi mda huo wa saa kumi anga lilikuwa blue na mwezi unang'aa sana
Nikajiuliza hilo tukio limetokea mda gani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom