Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,215
- 64,308
Ni kweli mkuu,ila unaweza kujiwekea utaratibu ni nani na kwa muda gani akutafute,ukiwa na simu ya biashara na nyingine ya maisha yako mengine.Hi inawahusu walio ajiriwa tu, sisi tuliojiajiri haituhusu, coz 24/7 tupo hewani
Itategemea mkuu na kundi utakalokuwepo.Mda gani utafaa mimi kukutafuta kwa simu?
Asubuhi? Mchana? Jioni?
ha ha ha ha,kabla ya kuajiriwa wewe si walikuwepo wengine kabla yako,wako wapi sasa?Heshimu muda wa kazi na upatikane muda wa kazi...itakupa thamani.Tofauti na hapo utaonekana 'cheap'Unazingua some time kunakuwa na issue muhimu na inategemea na kazi unayofanya ww
Mgonjwa wako.....haya Dr. Equation x mda gani utanipangia?Itategemea mkuu na kundi utakalokuwepo.
ha ha ha ha 24hrsMgonjwa wako.....haya Dr. Equation x mda gani utanipangia?
ha ha ha ha 24hrs
Muda wowote 'in'Asanteeee.......
Bila kujiwekea utaratibu mkuu unaweza jikuta ni mtumwa katika hii dunia.Kweli kabisa...
Ni kweli mkuu ni lazima ifikie hatua ukubaliane na hali uliyonayo.Ipo hivi kwa upande wangu. Ukifika muda wa kulala haijalishi ni saa ngapi huwa nazima simu.
Sipendi kabisa simu za kuamshana.
Kweli mkuu,ina maana maisha yao yote hapa duniani wanatakiwa wapatikane 24hrs na kila mtu?
ha ha ha ha inawahusu wote mkuu,kuchuja ni muhimu,ni nani akupate masaa 24 na ni kwa ajili ipi.Furaha ya nafsi na amani ni muhimu zaidi.Hii ina wahusu wajasiliamwili....?