Kupata simu iliyoibiwa au kutrack namba ya simu

Kupata simu iliyoibiwa au kutrack namba ya simu

musa abel jr

Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
43
Reaction score
68
Habari za mchana natumaini mko poa

Namahani naomba kufaham kitu kuna best yang kaibiwa simu jana jioni na mpaka saivi hiyo simu yake bado inapatikana sasa nilitaka jinsi ya kutrack namba ya simu au kama ni gmail au imei na kuonesha location ilipo maana vyote anavifahamu vizuri

Naomba msaada please
 
Afanye mpango wa kununua simu nyingine tu.
 
Back
Top Bottom