mwendapole12
Member
- Apr 2, 2022
- 21
- 26
Msaada jamani ninamtoto mmoja kwa sasa anamiaka mitatu najitahidi sana kwenye tendo la ndoa natafuta wapili lakini wapi hata tukitegeshea siku za hatari wapi, tatizo lipo wapi hapa anayejua dawa anisaidie.
sababu zaweza kuwa nyingi kati yako na mwenzio, muhimu wote wawili muende kwa wataalamu wa mambo ya uzazi wawafanyie vipimo wawape na ushauri, mwakani majira kama haya muwe na mapacha.Ila pia msiache kusali, shetani pia yuko kazini kuzuia baraka zetu hvyo maombi ni muhimu. N.B epuka waganga wa kienyeji, kule watakupa "simbula" wa bahati bukukuMsaada jamani ninamtoto mmoja kwa sasa anamiaka mitatu najitahidi sana kwenye tendo la ndoa natafuta wapili lakini wapi hata tukitegeshea siku za hatari wapi, tatizo lipo wapi hapa anayejua dawa anisaidie.
Kama wewe ni me, jaribu kuangalia kama huyo wa kwanza ni wa kwako!Msaada jamani ninamtoto mmoja kwa sasa anamiaka mitatu najitahidi sana kwenye tendo la ndoa natafuta wapili lakini wapi hata tukitegeshea siku za hatari wapi, tatizo lipo wapi hapa anayejua dawa anisaidie.
Unapatikana wapi huo mmea?Tafuta mizizi wa mkunde pori chemsha vizuri anza kunywa kutwa mara 3 ukishamaliza hedhi tumia ndani ya siku 4 then stop angalia siku za hatari piga show ya nguvu ila akikisha bao linaenda sambamba na chuma mboga.usiwe na haraka kwenda kujisafisha au kuinuka kwenye chuma mboga .mungu akubariki
Sio hivyo kuna njemba zinaweza piga mjoko mrefu akapata mimbaJF sio hospital.
Kwa uku kwetu ipo kando na reli .Dawa moja nzuri Sana imewasaidia wengi Sana inafanya kazi ya kurudisha kizazi kiwe karibuUnapatikana wapi huo mmea?
Maeneo gani nije kuifata jamani? Kando na reli ni wapi huko?Kwa uku kwetu ipo kando na reli .Dawa moja nzuri Sana imewasaidia wengi Sana inafanya kazi ya kurudisha kizazi kiwe karibu
ilala ipo mingi sana huku wewe uko wapi njoo dm nkutumje hata boda akuleteeMaeneo gani nije kuifata jamani? Kando na reli ni wapi huko?
Mimi nipo kitunda relini.Maeneo gani nije kuifata jamani? Kando na reli ni wapi huko?
Baada ya kufanya tendo kwenye siku za hatari muache apumzike usimuungilie tena au asinywe dawa yoyote baada ya week aza fatilia mabadiliko ya mkeTafuta mizizi wa mkunde pori chemsha vizuri anza kunywa kutwa mara 3 ukishamaliza hedhi tumia ndani ya siku 4 then stop angalia siku za hatari piga show ya nguvu ila akikisha bao linaenda sambamba na chuma mboga.usiwe na haraka kwenda kujisafisha au kuinuka kwenye chuma mboga .mungu akubariki
Asante sana dearMimi nipo kitunda relini.
My dear,nliipata. Hivi naweza kuhifadhi mizizi kwenye friji? Hadi pale ntakapotaka kuichemsha?Baada ya kufanya tendo kwenye siku za hatari muache apumzike usimuungilie tena au asinywe dawa yoyote baada ya week aza fatilia mabadiliko ya mke
Chemsha ndio uweke kwenye friji ila ukiweka mzizi uchungu utapunguaMy dear,nliipata. Hivi naweza kuhifadhi mizizi kwenye friji? Hadi pale ntakapotaka kuichemsha?
Umeandik kama utani ukisoma taratibu kuna jambo mtoa mada anatakiwa kulifuatilia.Kama wewe ni me, jaribu kuangalia kama huyo wa kwanza ni wa kwako!