Kupata mimba

habari za leo wana jamvi!

Naomba kuuliza hivi unaweza kupata ujauzito siku ya (12) tangu kuanza kwa period iliyopita? Mf. umeanza period tarehe 02/11 then uka-do trh 14/11 je unaweza kupata ujauzito?


tayari kujifungua au bado?
 
Back
Top Bottom