Mi vyoteBig up azzure.
Unahitaji Packaging Machine au Package materials au Vyote?
Mimi packaging materials tu.Big up azzure.
Unahitaji Packaging Machine au Package materials au Vyote?
MImi kimoja tu,packagingMi vyote
Kwahiyo mkuu unaanza kwanza kusindika, kisha uende TFDA/tbs then ndio utengeneze packaging? Mimi nilidhani kabla hujapeleke kokote unapaswa kuwa na packaging yake tayari. Na je nikitaka packaging materials nazipata wapi mkuu?Una wazo zuri; ila unahitaji elimu ya kujua Zaidi;
unaposema packaging machine hapo unajichanganya;
Kuna packaging materials, kama chupa kwa ajili ya mango pickle, wine, juisi;
pia kuna packaging packets kama zile za kupack mlonge,
pia kuna packaging ya vitu kama karanga nk.
unachofanya wewe ni kusindika na kuifanya bidhaa yako iwe na viwango vya sokoni
kupitia tbs au tfda; baada ya hapo unapewa logo za ubora
baada ya hapo ndipo unapofanya packaging ukiwa na lebo yako tayari kuingiza bidhaa sokoni.
Oky ahsante.mkuuNyingi zinatoka india kama unaziitaji
Mimi ninataka kupack tomato source kama wanavyo pack kampuni ya AlmudhishMimi nina uza kwa oder machine zozote zile za packaging na material yake, unatakiwa ujue ni aina gani ya kusindika. Umeongea too general, kupack biscuit, kupack karanga, kupack siagi, kupack wine, kupack juice kupack matunda vyote vinatofautiana njia ya kuhifadhi na kupack, pia inategemea wewe project yako unataka kupack vipi ndipo uje kutafuta ni machine gani na methods zipi zitqkuwa rahisi kwa idea yako. Weka wazi unataka kupack nini then nitakueleza kila kitu na gharama zote pamoja na ushauri wa kitalaam kupack hiyo
Ni PM nitakupatia Quoatation ya packaging machine hiyoView attachment 371715
Ni mea attach pita ya mfano wa package method ambao ninamalengo nayo
Una wazo zuri; ila unahitaji elimu ya kujua Zaidi;
unaposema packaging machine hapo unajichanganya;
Kuna packaging materials, kama chupa kwa ajili ya mango pickle, wine, juisi;
pia kuna packaging packets kama zile za kupack mlonge,
pia kuna packaging ya vitu kama karanga nk.
unachofanya wewe ni kusindika na kuifanya bidhaa yako iwe na viwango vya sokoni
kupitia tbs au tfda; baada ya hapo unapewa logo za ubora
baada ya hapo ndipo unapofanya packaging ukiwa na lebo yako tayari kuingiza bidhaa sokoni.
Mnapatikana wapi?Mimi packaging materials tu.