kupata kazi noma

kupata kazi noma

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
1,220
Reaction score
296
wajameni yani hata sitaki kujiamini yani na ubachelor wangu wa business in information technology unavyouza kwenye mabenk yani bado niko benchi mpk usawa huu kwani hizi banks zimebadili muelekeo wa kuajiri au? nishakuwa sielewi mie
 
Pole kuku87 utapata tu mkuu endelea kupambana
wajameni yani hata sitaki kujiamini yani na ubachelor wangu wa business in information technology unavyouza kwenye mabenk yani bado niko benchi mpk usawa huu kwani hizi banks zimebadili muelekeo wa kuajiri au? nishakuwa sielewi mie
 
Last edited by a moderator:
Sali sana kijana.. Your time is coming wewe usikate tamaa tu

nimesali toka August mwaka jana sahv nawaza kufunga lakini niko na ulcers siwez kabisa kukaa na njaa
 
wajameni yani hata sitaki kujiamini yani na ubachelor wangu wa business in information technology unavyouza kwenye mabenk yani bado niko benchi mpk usawa huu kwani hizi banks zimebadili muelekeo wa kuajiri au? nishakuwa sielewi mie

wewe hawezi kukuajili mtu, kwanza hata kuandika Kiswahili vizuri huwezi, ajira zipo ila hauna sifa!
 
Kila la kheri kamanda! Hua tunakijiwe chetu cha majobless tunakutanaga na kupeana michakato na mishe mishe paka sasa watu 36 wamepata Job, kama upo Dar tutafutane
mapambano yanaendelea mpk mwisho ueleweke mkuu
 
kuwa na subira rafiki! muda wako sahii ukufika utajibiwa tu hayo maombi yako!
 
Kila la kheri kamanda! Hua tunakijiwe chetu cha majobless tunakutanaga na kupeana michakato na mishe mishe paka sasa watu 36 wamepata Job, kama upo Dar tutafutane

Duh!mbona ciijui hii? Wapi huko mkuu?ni PM basi maana kiukweli am tied na kutafuta job
 
wajameni yani hata sitaki kujiamini yani na ubachelor wangu wa business in information technology unavyouza kwenye mabenk yani bado niko benchi mpk usawa huu kwani hizi banks zimebadili muelekeo wa kuajiri au? nishakuwa sielewi mie

Tafuta God Father
 
wewe hawezi kukuajili mtu, kwanza hata kuandika Kiswahili vizuri huwezi, ajira zipo ila hauna sifa!
Wewe hujui kabisa Kiswahili,tena sio kiswahili tu bali pia hujielewi kabisa.
Kwanza sio kukuajili,hakuna hilo neno kwenye lugha ya kiswahili.
Pili,
halafu unajua wewe mshikaji mambo ya kutukanana mimi simaindishi
Hujui kwamba kuna methali inasema "nyani haoni kundule" wewe umeona umetukanwa.
Tatu,hakuna neno simaindishi kwenye lugha ya kiswahili.
Nne,naomba nikuite zuzu.
 
Back
Top Bottom