Ana washitaki kwa reference ipi? Kama kadi hana bila shaka hakuna hata mkataba wa mauziano.Yaezakuwa pkpk yako iliingia kimagendo pasi kulipiwa Kodi,
Washtaki uone kama hawajakupa pkpk ingine
Atawashtaki sababu alipewa risiti ya EFD aliponunua.Ana washitaki kwa reference ipi? Kama kadi hana bila shaka hakuna hata mkataba wa mauziano.
Hapo akijifanya mjuaji hawakawii kumgeuzia kibao kuwa jamaa kawaibia pikipiki yao. Kwa kifupi jamaa kafanya biashara kisukuma sana
Kwa hawa wafanya biashara unanunua mzigo wa vifaa vya umeme risiti inasoma vitenge au vipodozi?Atawashtaki sababu alipewa risiti ya EFD aliponunua.
Kama hana risiti, asitupigie kelele.
Pikipiki mpya ya 3m unanunuaje bila risiti na kukubali kuondoka bila kadi wala plate number?Kwa hawa wafanya biashara unanunua mzigo wa vifaa vya umeme risiti inasoma vitenge au vipodozi?
Pkpk mpya nyingi tu zinauzwa bila kadi wala plate number,Ulifanya biashara kienyeji mkuu.
Mkuu kama imeshindikana kupewa kadi ambapo ni zoezi la siku moja tu kuhamisha umiliki kutoka kampuni muuzaji kwenda kwa mteja mnunuzi.Pikipiki mpya ya 3m unanunuaje bila risiti na kukubali kuondoka bila kadi wala plate number?
Risiti itamsaidia kupata kadi itaposajiliwa, na ikishindikana kupata usajili, risiti itawafanya wampe pkpk ingine ambayo chasis yake itakuballi kupokea usajili kwenye mifumo.
Kununua pikipiki SI sawa na kununua kitenge..
Tusiragisishe mambo
Hapo ni hivi,Mkuu kama imeshindikana kupewa kadi ambapo ni zoezi la siku moja tu kuhamisha umiliki kutoka kampuni muuzaji kwenda kwa mteja mnunuzi.
Sitarajii kama huyo muuzaji atakuwa muadilifu kutoa risiti ya EFD yenye thamani ya Million 3+ tena inayosoma bidhaa halisi iliyouzwa na sio risiti ya kutembelea asisumbuliwe na askari.
Hadithi za new member zinanifurahisha sana ......... Kwahyo Wew unamiliki chombo au unamiliki pikipiki?????WanaJamiiForums Habari zenu,
Nimenunua Pikipiki Mpya kwenye kampuni Fulani Tangia mwezi wa Tatu Hadi kufikia muda huu sijapata plate number na Kadi nikiwapigia wananiambia Chassis yangu Haionekani kwenye Mfumo wa TRA,
Naombeni Msaada wa Kisheria nn nifanye? maana pia Barabarani Traffic wananisumbua lakini pia inanijima umiliki halali wa Chombo changu.
andAna washitaki kwa reference ipi? Kama kadi hana bila shaka hakuna hata mkataba wa mauziano.
Hapo akijifanya mjuaji hawakawii kumgeuzia kibao kuwa jamaa kawaibia pikipiki yao. Kwa kifupi jamaa kafanya biashara kisukuma san
Ana washitaki kwa reference ipi? Kama kadi hana bila shaka hakuna hata mkataba wa mauziano.
Hapo akijifanya mjuaji hawakawii kumgeuzia kibao kuwa jamaa kawaibia pikipiki yaoAna washitaki kwa reference ipi? Kama kadi hana bila shaka hakuna hata mkataba wa mauziano.
Hapo akijifanya mjuaji hawakawii kumgeuzia kibao kuwa jamaa kawaibia pikipiki yao. Kwa kifupi jamaa kafanya biashara kisNilipewa Risiti Tuu wadauMkuu kama imeshindikana kupewa kadi ambapo ni zoezi la siku moja tu kuhamisha umiliki kutoka kampuni muuzaji kwenda kwa mteja mnunuzi.
Sitarajii kama huyo muuzaji atakuwa muadilifu kutoa risiti ya EFD yenye thamani ya Million 3+ tena inayosoma bidhaa halisi iliyouzwa na sio risiti ya kutembelea asisumbuliwe na askari.
Waliniuzia wakanipa Risiti ya EFD Tuu wakaniambia Plate Namba na Kadi nitapata Baada ya wiki mojaHadithi za new member zinanifurahisha sana ......... Kwahyo Wew unamiliki chombo au unamiliki pikipiki?????
Risiti Ninayo Mkuu plate Namba na Kadi Ndo waliniambia watanipa Baada ya wiki mojaMkuu kama imeshindikana kupewa kadi ambapo ni zoezi la siku moja tu kuhamisha umiliki kutoka kampuni muuzaji kwenda kwa mteja mnunuzi.
Sitarajii kama huyo muuzaji atakuwa muadilifu kutoa risiti ya EFD yenye thamani ya Million 3+ tena inayosoma bidhaa halisi iliyouzwa na sio risiti ya kutembelea asisumbuliwe na askari.
Na Mimi pia Nilifanya hivyo hivyo Niko na Risiti ya EFD TuuPkpk mpya nyingi tu zinauzwa bila kadi wala plate number,
Unapewa risiti ya manunuzi, inaandikwa chasis number kwenye Kibao, inawekwa nyuma ya pkpk unatembelea kwa muda ambao usajili bado kukamilika.
Unaacha tin namba na majina yako Ili washughulikie new registration kwenye mifumo tra.
Kama ambavyo gari hutembelea chasis number, pikipiki ni hivyo pia.
Hamna Risiti yangu ya EFD inasoma ni ya PikipikiKwa hawa wafanya biashara unanunua mzigo wa vifaa vya umeme risiti inasoma vitenge au vipodozi?
Walinipa Risiti ya EFD TuuUlifanya biashara kienyeji mkuu.