Z zipalapwata JF-Expert Member Oct 19, 2016 290 156 Feb 12, 2017 #1 Ningependa kufahamu msichana kupitiliza hedhi kwa mda mrefu na kiuno kuuma sana na maziwa kuuma kujaaa ni dalili ya nn naomben ushauri wadau
Ningependa kufahamu msichana kupitiliza hedhi kwa mda mrefu na kiuno kuuma sana na maziwa kuuma kujaaa ni dalili ya nn naomben ushauri wadau