Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 306
Mkuu, hao waarabu na wahindi walio jazana kwenye Nyumba ya NHC ni wamiliki asili wa nyumba hizo. Baada ya kutaifishwa mwaka 1970, wameendelea kuishi kwenye nyumba hizo, huku wakilipa kodi NHC!
Zile nyumba za mjini center zilikua zao baada ya kutaifishwa na serekali kibabe waliendelea kukaa ndo maana unaona hadi leo zile ni nyumba za babu zao.Ila mkuu ukweli naiman unaujua hizo nyumba ukiangalia waarabu na watanzania wengi wanaokaa nyumba hizo ni wakina nan?
Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Zile nyumba za mjini center zilikua zao baada ya kutaifishwa na serekali kibabe waliendelea kukaa ndo maana unaona hadi leo zile ni nyumba za babu zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimekuelewa ila naomba kujua hizo nyumba zipo chini ya serikal? Na mtanzania akitaka kumiliki anaruhusiwa?
Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Mkuu, NHC unakodi tu nyumba, hakuna anayemiliki! Mswahili, akitaka kumiliki nyumba, sharti ajenge au anunue!Kwa hyo kwa utaratibu mswahili haruhusiwi kumiliki au anaweza kumiliki vp
Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Nyumba ni za serekali ukitaka kumiliki unaruhusiwa kwa zile walizokua wanaziuza ila zile wanazopangisha na tayari zina watu hao wahindi na waarabu huwezi kuzipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mimi mwenyewe hilo najiulizaga sana sisi watu weusi kwenye hizo nyumba sijui kama tupo na kama tupo basi ni wachache sana yaani mpaka huwa naziogopa. Mimi nashauri hizo nyumba wawe wanapangishiwa watu weusi kwa bei ya chini halafu hawa wengine kwa bei kubwa kiasi sababu huwa wanaubaguzi sana hivyo siyo mbaya na sisi tukiwatreate kama siyo wenzetu maana wao ndiyo wanaanzisha ubaguzi.
Sawa mkuu sasa mbona hizo nyumba wanakodi hao wahind watanzania wachache ni wananyimwa au utaratibu uko vp mpaka wao wawe wengi?
Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Mkuu, wahindi ndio waliojenga zile nyumba, na baada ya kutaifishwa, hawakufukuzwa mle. Ndio maana wanaendelea kuishi mle hadi leo, kizazi baada ya kizazi. Lakini unaweza kutembelea ofisi za NHC na kuulizia nyumba isiyo na wapangaji. Kuna waiting list na ujuane na watu wanaofanya maamuzi! Ni ngumu, na ndio maana tunaishi tu Tandale, ili maisha yaendelee!
Chinja mbuzi, inawezekana ukafanikiwa... kwa sababu watu wana amini kwamba wahindi ndio zao hizo...Hahaa sawa mkuu shukran hizo nyumba huwa nazitaman ila nikiona waarabu na wahindi roho inauma na nakata tamaa
Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Na yeye chid benzi kashauza mbona