Kupandishwa kwa nauli

kupanda kwa gharama za maisha kunasababishwa na nini....? DINI?SIASA?UCHUMI&BIASHARA?TLP?CHADEMA?CCM AU NINI HASA...?
 
you cant plant cassava expecting to harvest maize, tunavuna tulichopanda!
 
Watanzania wa kipato cha chini mbona mambo yanazidi kutuendea kombo! Nauli mpya zaja , mgao wa umeme ndo kwanza umeshika kasi, umeme wenyewe bei juu mambo kibao bei juu. Wenye nyumba nao kupandisha bei kila mwaka. Maji yanatoka mara moja kwa mwezi bili nayo ulipe. Yarabi toba mtanzania mimi maisha bora kwa kila mtz hakuna.


umeme waliongeza bei ili kukusanya mauzo mengi kwakuwa walijua umeme wenyewe tunapata kwa wiki siku mbili kwa mwezi ni siku nane mpaka kumi siku 20 hakuna mauzo lakini wafanyakazi wanalipwa mshahara wa mwezi mzima. service charge juu, ikianguka nguzo line furani watajichelewesha kuja kutengeneza as upandeweno unakuwa upo kwenye mgao ambao hauna mjadala. natural selection inakuwa imewapendelea negatively.
 
Back
Top Bottom