elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,710
Iphone imepoteza nokia na blackberry.
Kifo cha nokia na blackberry kimesababishwa na iphone
Kifo cha nokia na blackberry kimesababishwa na iphone
Hebu nambie makao makuu ya Tecno yako wapi?TECNO ni kama walichukua nafasi ya Nokia,maana wanatengeneza simu za viwango na gharama tofauti.
Kizuri ni kizuri ila bora ni bora, ila nokia itabaki kuwa simu bora muda mrefu!kweli ni imara na simple sana kutumia, ila smartphone imekuja kuziondoa sokoni, walishindwa ku cope na spidi ya teknolojia