Kupanda Madaraja kwa watumishi

Kupanda Madaraja kwa watumishi

imbu8

Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
45
Reaction score
32
Mwezi november mwaka jana tuliarifiwa kuwa promotion kwa watumishi imeanza kshughulikiwa.
Naomba kuuliza Kuna mtumishi yoyote ambaye mshahara wake umebadilika au ndio bado wanaendelea kushughulika?
 
Mwezi november mwaka jana tuliarifiwa kuwa promotion kwa watumishi imeanza kshughulikiwa.
Naomba kuuliza Kuna mtumishi yoyote ambaye mshahara wake umebadilika au ndio bado wanaendelea kushughulika?
hayo mambo achana nayo watu washasahau we unawakumbusha,iIe ilikuwa siasa ndugu
 
Aha aha aha Madaraja mtapanda vipi uku Chato International airport haijaisha! By the way nasikia ATCL ni full hasara na mabombadia
 
Kwa utawala huu kama we ni mtumishi andika maumivu! Jamaa anachokifanya anajua mwenyewe!
 
Over expectation ni mbaya sana kaka Pambana na hali yako
 
Ni wakati mbaya kuliko wakati mwingine kwa maisha ya watumishi wakati huo wanatakiwa wafanye kazi kwa moyo.
Kwa sasa kila mtumishi anasifa ya kupanda daraja.
Ndio tatizo la nchi kumpa Ibirisi.
 
Vyuma vya madaraja vimekaza, hakuna kupanda mtu😀
 
Mwezi november mwaka jana tuliarifiwa kuwa promotion kwa watumishi imeanza kshughulikiwa.
Naomba kuuliza Kuna mtumishi yoyote ambaye mshahara wake umebadilika au ndio bado wanaendelea kushughulika?
Subiria utawala ujao labda km ukikutkuta ujastaafu bado,kitakiwacho uishi km shetani madaraja ya nn.
 
Back
Top Bottom