Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Hapo ndo kuna maswali mengi maana wilaya ya Temeke nasikia waliopo masomoni hawapandi japo wana ruhusa,sasa naanza kujua huenda ni fitina za wenye ofisi.
Ukiwa masomoni kisheria huwezi kupanda daraja unless afisa elimu na wengineo watumie utu tu...
Ndugu Yang unaumri gani kazini?Huwezi kupanda cheo/daraja ukiwa masomoni kwa kuwa utendaji wako hauwezi kupimwa
Habari, naweza kupata sehemu ya kusoma hizo haki. Nina shida nazo.sheria ya kazi inasema mfanyakazi akijiendeleza anapata haki zote kama mfanyakazi maana elimu anyoipata ni kwa manufaa ya umma, na barua za ruhusa zimeansikwa hivyo, pia atansing order zimebainisha vyema tu.