Mkoa gani?Uku mikoani bia zimepanda bei kwa zaidi ya 200-500..haswa ivi viemoro...sasa nini sababu aiseee.mana kama sikosei budget hii haijachokonoa uko¡¡
BIA ZA AINA GANI MZEE.. KUNA FOREIGN NA LOCAL ONE'S!! NA HUJATAJA SAMPLE ZA BEI NA BRAND PIA.Uku mikoani bia zimepanda bei kwa zaidi ya 200-500..haswa ivi viemoro...sasa nini sababu aiseee.mana kama sikosei budget hii haijachokonoa uko¡¡