uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,085
Habari wananchi wa Tanzania.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na kupanda kwa bundle za internet kwa zaidi ya mara mbili kwa bei iliyokuwepo awali.
Swali langu kuu ni kwamba gharama za uendeshaji kwenye mitandao ya simu zimepanda?? Nakama zimepanda nini kimesababisha?
Je, inamaana Mama haoini kuwa wananchi tuna umea kwa kupandishwa kwa gharama?
Mbona Mama amekaa kimya tu?
Hapa chini ni baadhi ya bei za manunuzi ya liyopo kwa sasa kutoka mtandao wa Halotel.
1. Halotel 4G
2. Halotel kifurushi cha mwezi
3. Halotel kifurushi cha wiki