Ukweli ni kwamba hapa inaonyesha kabisa Serikali yetu isivyo uweledi wa mambo na isivyo juwa kuwajibika juu ya wananch wake has wa kipato cha chini,wala lakupandisha mafuta ya taa huku wakidai wanapunguza uchakachuaji ni ukosefu wa uwajibikaji kwani kazi ya serikali na asasi zake ni kuthibiti wanao vuja sheria EWURA kazi yao ni nini mimi nafikiri bunge lingepitisha sheria mahususi kwa ajili ya wachakachuaji wa mafuta moja ni kuhakisha atakaye baininka kuchakachua afungiwe milele kufanya biashara hiyo hapa TZ taabu ni rusha na ufishadi vinasumbua nch hii nzuri na yenye utajili mwingi.
Lingine naona hii sera inapingana na swala la kulinda mazingira utalinda vipi mazingira huku unapandisha mafuta ya taa? Gesi yenyewe juu? hivi kweli watu waliopo serikalini wana fikiri mema juu ya inchi hii mimi sidhani hata kidogo, kwa mtindo huu tutaendelea kukata miti mpaka jangwa lije TZ ndo watajua athali za kupandisha bei ya mafuta na gesi Ofisi ya mkamu wa raisi mnao shughulikia mazingira hawapo bungeni?
inatia hasira wana jamii mimi niishie hapa inauma sana
Nyerere fufuka baba uone vijana wako uliowaanda kwa ajili ya taifa hili mamabo wanayo fanya.