K kotinkarwak JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 376 Reaction score 115 May 6, 2012 #1 Nina shida ya kutengeneza list ya mashule na maeneo yalipo mfano: [TABLE="width: 70%"] [TR] [TD="width: 50%"]Maua Seminary [/TD] [TD="width: 50%"]KILIMANJARO [/TD] [/TR] [TR] [TD="width: 50%"]MANOW LUTHERAN JUNIOR SEMINARY [/TD] [TD="width: 50%"]MBEYA [/TD] [/TR] [/TABLE] Nimeipata hiyo detail kutoka necta lakini najua kuna urahisi wa kutumia ICT techniques kupakua hizo details zote na sio kufungua kila ukurasa na kunukuu hiyo detail. Mwenye kufahamu njia nipe shule... KK
Nina shida ya kutengeneza list ya mashule na maeneo yalipo mfano: [TABLE="width: 70%"] [TR] [TD="width: 50%"]Maua Seminary [/TD] [TD="width: 50%"]KILIMANJARO [/TD] [/TR] [TR] [TD="width: 50%"]MANOW LUTHERAN JUNIOR SEMINARY [/TD] [TD="width: 50%"]MBEYA [/TD] [/TR] [/TABLE] Nimeipata hiyo detail kutoka necta lakini najua kuna urahisi wa kutumia ICT techniques kupakua hizo details zote na sio kufungua kila ukurasa na kunukuu hiyo detail. Mwenye kufahamu njia nipe shule... KK
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,082 May 7, 2012 #2 ngoja waje wataalam watujuze. Hata mie niliwahi kuona mtu anafanya hiyo lakini sikujua alifanyaje!
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,445 May 7, 2012 #3 spreadsheet apps like ms excel can get the job done. stackoverflows guys also propose some nice tricks
spreadsheet apps like ms excel can get the job done. stackoverflows guys also propose some nice tricks