K Kwetusongea Senior Member Joined Nov 30, 2014 Posts 117 Reaction score 45 Apr 10, 2023 #1 Wakuu habari, natarajia kufungua biashara ya kupaka kucha rangi na kubandika kucha rangi kwa wadada yan kuwa na frame mwenye kujua ABC ya hii biashara anipe muongozo tafadhari.
Wakuu habari, natarajia kufungua biashara ya kupaka kucha rangi na kubandika kucha rangi kwa wadada yan kuwa na frame mwenye kujua ABC ya hii biashara anipe muongozo tafadhari.