babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,931
- 20,223
Hizi ndoto zinasumbua sana sana,
Huwa naota nakula masive food,iwe stew,nyamachoma,wali ugali.pilau etc
Na kunakuwepo chakula kingi sana
Na watu wote nawaona tunajuana kabisa
hata jana nimeota nakula tilapia choma mkubwa tu.
Na best friend.
Problem nikiamka,sijiskii kula Chochote
,tumbo limejaa gesi balaa yaani nimevimbiwa.
Naweza kaa siku 2- 3
Naishia kunywa maji tu.
Labda ntagusa fruit na yoghurt.
Namwaga vyakula daily,
maana vinaharibika huku nimepika safi kwa roho moja.
Mwili wangu ka muwa( kijiti)
Sielewi hili jambo.
Siombi ushauri,
changia panapofaa.