Kama unaota ndoto za shule maana yake unaiwaza shule all day long ambapo hii inatokana na kukosa majukumu na shughuli ya kukuweka busy.Nimeamini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushindwa vibaya kimaisha na kuota ukiwa shule.
Kila siku huwa naota nikiwa shule na mara nyingi wakati wa mitihani na mara zote matokeo huja vibaya.
Kwenye maisha halisi sasa..vita ni kubwa sana
Kwani humu kuna mtu anaota akiwa shule na muda huo maisha yake yapo safi?
Niko busy sana..ivi sasa ndio namaliza kazi zanguKama unaota ndoto za shule maana yake unaiwaza shule all day long ambapo hii inatokana na kukosa majukumu na shughuli ya kukuweka busy.
Mimi nilikuwa naota paper kama kesho halafu sijasoma hata topic 1Nimeamini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushindwa vibaya kimaisha na kuota ukiwa shule.
Kila siku huwa naota nikiwa shule na mara nyingi wakati wa mitihani na mara zote matokeo huja vibaya.
Kwenye maisha halisi sasa..vita ni kubwa sana
Kwani humu kuna mtu anaota akiwa shule na muda huo maisha yake yapo safi?
Same to me..Mimi nilikuwa naota paper kama kesho halafu sijasoma hata topic 1
Vipi changamoto za kimaisha..au maisha yamenyooka tundoto nyingi naota nipo shule tena primary na mara moja moja sekondari... kipindi nipo college sikumbuki kama nimewahi kuota ndoto za mazingira ya chuo hata siku; kila ndoto ni primary tu hata niote watu ninaoshinda nao kutwa na sikusoma nao primary lakini kwenye ndoto wote ni shule!
Hata wahusika wakiwa ni watumishi wenzangu lakini ndotoni lazima tuwe ni wanafunzi! Nakumbuka siku hiyo nimeota Mwalimu mkuu wa shule ninayofundisha eti anakagua sijui jambo gani na mimi nimo ni mwanafunzi halafu namhanya balaa aisee niliposhtuka ikabidi nicheke tu maana kiuhalisia huyo jamaa wala hana ukali niliomuota nao na ni mshkaji sana hapa shuleni hata huwezi kujua kama yeye ndiye mkuu
mimi nilikua naota sijui majibu au naingia kwenye mtihani nikitegemea kumuiga mtu…mara nisimalize maswali yani acha kabisa…ila nilisali sana siku hizi sioti hivo tenaSame to me..
Au kalamu zinagoma kuandika muda unaisha..yaani vululu vululu tu
Huwa natulia tu boss..sasa nitafanyaje..Baada ya kuota Huwa unafanya nini chief.
Mana ukienda kumsimulia mtu na kuongelea ongelea bila kuonesha kutokubaliana nayo maana yake umechukua cheki