Ndoto za kuota unafanya mapenzi au upo shuleni
Ndoto hii inamaanisha wachawi wamekutupia majini au Mizimu ya ukoo
lengo kubwa usioe na pia usifanikiwe maisha yako yote
Dawa yake ni ndogo sana lipo jina lipitayo majina yote jina la Yesu vunja mamlaka hizo kwa jina la Yesu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.