Iwensanto JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 1,224 Reaction score 1,159 Aug 16, 2020 #1 Twende kwenye mada ndugu zangu tatizo gharama za king'amuzi zimepanda sana hivi kwa wenye welewa tatizo ni nini hasa. Kupanda kwa gharama namna hii hasa kipindi hiki.
Twende kwenye mada ndugu zangu tatizo gharama za king'amuzi zimepanda sana hivi kwa wenye welewa tatizo ni nini hasa. Kupanda kwa gharama namna hii hasa kipindi hiki.
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,700 Reaction score 9,070 Aug 16, 2020 #2 Dstv wajinga sana hawana vitu vya maana afu wanaongeza bei zaidi ya mpira na zile magic bongo na east africa magic hawana cha maana channel za muvi kila sku wanarudia muvi kiufupi nitabadili kifurushi kutoka 44k kuja 23 au 19 kabisa
Dstv wajinga sana hawana vitu vya maana afu wanaongeza bei zaidi ya mpira na zile magic bongo na east africa magic hawana cha maana channel za muvi kila sku wanarudia muvi kiufupi nitabadili kifurushi kutoka 44k kuja 23 au 19 kabisa
Rais Wa Malofa JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 694 Reaction score 809 Aug 16, 2020 #3 Kama ni mtu wa mpira tafuta kitu inaitwa canal plus. Achana na hao matapeli
jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,192 Aug 16, 2020 #4 Rais Wa Malofa said: Kama ni mtu wa mpira tafuta kitu inaitwa canal plus. Achana na hao matapeli Click to expand... Hii ni cable? Dstv nadhani hawajajua madhara ya kuongeza bei haswa kipindi ligi zimeisha
Rais Wa Malofa said: Kama ni mtu wa mpira tafuta kitu inaitwa canal plus. Achana na hao matapeli Click to expand... Hii ni cable? Dstv nadhani hawajajua madhara ya kuongeza bei haswa kipindi ligi zimeisha