Kuongeza signals za 3g modem version iii!

Kuongeza signals za 3g modem version iii!

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
194
Reaction score
39
Habari zenu wana JF wenzangu!
Kutokana na tatizo hili la poor 3g signals kusumbua wengi,nimeamua kuandika kwa mara ya 3 njia nyingine ya kuongeza signals za 3g endapo utakuwa mbali na mjini ama anywhere ambapo hakuna signals nzuri za 3g.(Ni aibu kuload page ya JF kwa dk 1 nzima jamani,tena inakera kweli kuwa na speed ndogo ya internet)

Kwanza kabisa,unahitaji kuwa na USB wire extension!Sasa kwa vile hizi wire ni vigumu kupatikana ndefu,nakushauri nunua hata mfupi kabisa.Pia utahitaj kununua wire wa Printer wenye urefu wa 5m.Hizi nyaya za printer znapatkana karibu kila duka la vifaa vya computer hapa Bongo.
Cha kufanya sasa ni kuunganisha huo wire wa printer na ule wire mdogo wa usb extension ili kupata wire mrefu kwa ajili ya kuungia modem yako...nimeamka wajameni! 3g antenna -mtambokitambo.jpg
 
Kiongozi tunakusubiri kwenye PC zetu ili utujuze. Usingizi mwema!
 
Bado haujaamka?tunakusubiri mkubwa utupatie DARASA.
 
Nimeamka wakuu,sema ma mgawo ya umeme yananislow down...bado na edit maelezo ya picha kweye Photoshop,vumilien kidogo na mambo yatakuwa barabara soon.
 
Back
Top Bottom