Kuongeza nguvu za kiume

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
195
Naomba mnitajie dawa ambazo zinafaa kuongeza nguvu za kiume. Nawasilisha.
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,317
2,000
Za kizungu sijui. Ila zile zinazotokana na vyakula na matunda kidogo nazijua maana mie pia nilikuwa na tatizo hilo ila kwa sasa nipo sawa.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,621
2,000
Za kizungu sijui. Ila zile zinazotokana na vyakula na matunda kidogo nazijua maana mie pia nilikuwa na tatizo hilo ila kwa sasa nipo sawa.

la msingi utaje hizo dawa na si kuishia kusema unazijua au la
 
health

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
325
170
REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE

 • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
 • Kutibu impotence(mahanisi)
 • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
 • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
 • Kutibu maumivu ya kiuno
 • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
 • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
 • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
 • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
 • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa
Gharama ya hiyo product ni Tsh 60500/- tu. Waweza kunipata kwa namba 0776491294 pia kwa kuniandikia barua pepe kupitia ishealthy@hotmail.com
Ukiwa na swali pia ushauri usisite kuniandikia pia
 
pcman

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
744
250

Hii dawa, ukiinywa mara moja ndio basi?.
Au maisha yako yote utaitegemea?.
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,299
2,000
REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE

 • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
 • Kutibu impotence(mahanisi)
 • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37''C.

Ningependa kujua kama inatambulika TFDA na TBS tafadhali
 
health

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
325
170
Hii dawa, ukiinywa mara moja ndio basi?.
Au maisha yako yote utaitegemea?.
Hiyo siyo dawa pcman. Dawa kwa kawaida mfano mtu anapougua Malaria akaenda Pharmacy na kutumia siku mbili au moja na kujisikia nafuu na ndani ya muda sii mrefu anakuwa akichapa kazi kama kawaida anafikiri ndiyo inayostahili kumbe ile inakwenda kusababisha madhara mengine ambayo hatuyajui. Hii ni product iliyoandaliwa kiasilia na isiyo na madhara kiafya. Mtu hastahili kutumia katika maisha yake yote. Hiyo inakuwa ni ya muda mfupi tu ambapo inatakiwa kwa miezi miwili.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
53,376
2,000
mamlaka ya chakula na dawa wanaijua na kuithibitisha?
REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE

 • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
 • Kutibu impotence(mahanisi)
 • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37''C.
 • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
 • Kutibu maumivu ya kiuno
 • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
 • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
 • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
 • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
 • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa
Gharama ya hiyo product ni Tsh 60500/- tu. Waweza kunipata kwa namba 0776491294 pia kwa kuniandikia barua pepe kupitia ishealthy@hotmail.com
Ukiwa na swali pia ushauri usisite kuniandikia pia
 
health

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
325
170
Ningependa kujua kama inatambulika TFDA na TBS tafadhali
Hiyo ni product miongoni mwa products zilizothibitishwa kutumika siyo hapa nchini tu bali kimataifa. Zimefanyiwa utafiti na kuhakikiwa zinafaa na zina ufanisi mzuri sana katika afya zetu miaka 4000 sasa. Nchini China taifa lenye watu zaidi ya bilioni 1.3 wanahamasishwa kutumia hizi products kwa afya. Traditional Chinese Medicine pia imefanya research na kuweza kuwa na uhakika na matumizi yake.
 
chitanda.nyoka

Senior Member
May 3, 2012
195
0
Naomba mnitajie dawa ambazo zinafaa kuongeza nguvu za kiume. Nawasilisha.

kaka nnakuhakikishia umeshapona tatizo lako dawa ninayo dozi yake 20000,hla tahadhari kama haujaoa hii dawa itakutesa sana unakua na nguvu kali sana hii dawa ya miti shamba kama utahitaji muda wowote ni pm ntakwambia jinsi ya kuipata.
 
yuya

Member
Nov 7, 2011
46
70
kaka nnakuhakikishia umeshapona tatizo lako dawa ninayo dozi yake 20000,hla tahadhari kama haujaoa hii dawa itakutesa sana unakua na nguvu kali sana hii dawa ya miti shamba kama utahitaji muda wowote ni pm ntakwambia jinsi ya kuipata.

tutakupataje? Weka namba ya simu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom