Hakuna kitu kiitwacho 'nguvu ya kike' ila kuna hamu ya kike. Katika mahusiano ya ngono mahitaji ya mwanaume yanatofautiana na ya mwanamke. Mwanaume kwa mfano anahitaji nguvu za kiume, yaani nguvu ya kuwezesha kifaa chake kuwa kigumu kiweze kupenyeza mahali, na mwanamke anahitaji kupata msisimko na hamu ya kupokea hicho kifaa kutoka kwa mwanaume. Hiyo hamu ya kike si sahihi kuita 'nguvu ya kike' kwa mawazo yangu.