The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 855
- 1,454
Unaishi eneo ambalo network ipo vizuri? Pengine antenna ina tatizo, fundi anaweza kusaidia.Habar wakuu,
Jamen simu yangu ya button inanisumbua san mda mwingi inaandika emergency iv kuna uwezekan wa kuiongezea mtandao kama nikiipeleka kwa fundi au kama kuna mdau ana ujuz wa haya mamb tafadhal naomba anisaidie maelekezo
Mtandao upo vizur mwanzo nlikuwa naitumia vizur ila saiz ndy imeanza kuleta hil tatizoUnaishi eneo ambalo network ipo vizuri? Pengine antenna ina tatizo, fundi anaweza kusaidia.
Hio network huwa inakata mazima ama inapungua mnara na kupotea?Mtandao upo vizur mwanzo nlikuwa naitumia vizur ila saiz ndy imeanza kuleta hil tatizo
Network huwa inakuja na kupotea lakin hata ikija bar za za kuonyesha mtandao inakuw moja tu na haiw stable alaf inaandika emergencyHio network huwa inakata mazima ama inapungua mnara na kupotea?
Angalia IMEI ya simu kama inafanana kwenye stika.Habar wakuu,
Jamen simu yangu ya button inanisumbua san mda mwingi inaandika emergency iv kuna uwezekan wa kuiongezea mtandao kama nikiipeleka kwa fundi au kama kuna mdau ana ujuz wa haya mamb tafadhal naomba anisaidie maelekezo
Nimeangalia mkuu naona Imei ya simu inafanan na ya kwenye stikaAngalia IMEI ya simu kama inafanana kwenye stika.
*#06# angalia na kwenye sticker ya simu yako. Toa battery utaiona
Ndo hiyo unayotumia kuzama jf?Nimeangalia mkuu naona Imei ya simu inafanan na ya kwenye stika
Hapana mkuu JF natumia smart ,inayosumbua ni simu ndogo ya buttonNdo hiyo unayotumia kuzama jf?
Restore factory settings 😁Hapana mkuu JF natumia smart ,inayosumbua ni simu ndogo ya button