M MATEO GODFREY Member Joined Apr 7, 2014 Posts 55 Reaction score 89 Sep 24, 2022 #1 Habari wadau! Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript? Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
Habari wadau! Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript? Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 7,763 Reaction score 18,194 Sep 24, 2022 #2 Si uende ofisi za chuo chako ukaulize.. #YNWA
tutafikatu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 3,425 Reaction score 4,773 Sep 24, 2022 #3 Kila course unayoomba ina contents zake. Na transcript itaonesha hizo subjects za course husika. Unless chuo kingekuwa kimetengeneza joint honors.
Kila course unayoomba ina contents zake. Na transcript itaonesha hizo subjects za course husika. Unless chuo kingekuwa kimetengeneza joint honors.
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,343 Sep 24, 2022 #4 Vyuo vyetu vingi havina aina hiyo ya flexibility hivyo utasoma yale yalio kwenye syllabus. Check prospectus uone program unayoitaka imekaaje.
Vyuo vyetu vingi havina aina hiyo ya flexibility hivyo utasoma yale yalio kwenye syllabus. Check prospectus uone program unayoitaka imekaaje.