Kuongea na mpenzi wako kwenye simu usiku

Kuongea na mpenzi wako kwenye simu usiku

Hasham007

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
13
Reaction score
2
Enzi zileeeeeeeeee

Ikifika Mida kama hii umetia vocha yako unaanza kumpigia demu wako apo mpaka Alfajiri

Hivi stori gani nzuri za kupiga usiku ili usichoke kuongea na simu Mara moja ???
 
Hahaha au ndo wapo wanaongea kwanzaaa ?? Labda tusubiri saa moja asubuhi wakimaliza
 
Enzi zileeeeeeeeee

Ikifika Mida kama hii umetia vocha yako unaanza kumpigia demu wako apo mpaka Alfajiri

Hivi stori gani nzuri za kupiga usiku ili usichoke kuongea na simu Mara moja ???

Kweli nimeamini katika msafara wa Mamba na Kenge pia wamo na katika msafara wa Great Thinkers wa JF na Popoma Thinkers wa JF wapo vile vile.
 
Siri ya kuongea muda mrefu ni kuwa hamtakiwi kuwa serious...Topics ziwe mseto na muwe mmeshibana sana ili isaidie kuboost hamu ya maongez zaidi.
Muwe katika mazigira yanayowapa uhuru wa kuongea zaidi bila bughudha, maybe ME yupo ghetto mwenyewe na KE yupo chumbani kwake.
 
High school baada ya kuchaj 2/3betries for wholly week(kwa solar panel)..then by ijumaa 9t Kali,saa5+ ...maongez na loleza/weruweru ....MSULI TIGO
 
hivi haya maisha yalivyobana namna hii..wenzetu mnapata hadi muda wa kuongea usiku kucha?
 
wewe utakua o level au utakua mkubwa aliyeanza mapenzi ukubwani bila shaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom