shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Swala la machinga mijini limekuwa ni tatizo hasa kipindi cha awamu ya tano.
Tatizo hili linakua kwa kasi kwa sababu ya aina ya viongozi tulio nao.
Tanzania tuna viongozi kuanzia ngazi ya shina hadi taifa.
Sasa jiulize hawa watendaji wa mtaaa wanafanya nini.
Nashauri Mkuu wa mkoa Dar hangaika na watendaji watakaoshindwa kusimamia uondoshwaji wa machina sehemu zao.
Kesho ni 18/10 siku ambayo ni mwisho kwa machinga barabarani jijini Dar.
Kuanzia hapo pata taarifa toka kila mtendaji wa mtaa kuliko na machinga na chukua hatua