poleni na majukumu wanajamii,samahani ninaomba kama kuna maujanja jinsi yakuondoa namba ya siri kwenye simu aina ya huawei y330 nikiweka line one inaniambia inter pin,msaada naomba wadau.
nilishafanya hard reset but kitu kinadai pin bado line two inapiga mzigo line 1 ndio haisomi inadai pin