DOWNLOAD FLASH FILE HERENOTE;AM NOT RESPONSIBLE FOR BRICKING YOUR PHONE OR DEAD
Ungetoa maelekezo ya jinsi ya kuflash mr.
NIMEONA WATU WAKIANGAIKA JINSI YA KUTOA FRP KWA TECNO N2 ANDRID 6.0 SASA SOLUTION NI HILI NIMEWALETEA FILE DOGO TU AMBALO LIKO CUSROMIZED LINAWEZA KUTOA FRP KWA SIMU YA TECNO N2 BILA KUPOTEZA DATA
DOWNLOAD FLASH FILE HERE
frp n2(L004).zip
DOWNLOAD ALAFU UNZIP FILE ALAFU TUMIA SP FLASH KUFLASH HILI FILE
PASSWORD: L004
HAPPY FLASHING
L004
Kwa simu data sio picha, audio, au video pekee... Inaweza ikawaBila kupoteza data gani sasa, wakati hapo ilipo tayari imepoteza data.
Bila kupoteza data gani sasa, wakati hapo ilipo tayari imepoteza data.
Braza ukisema ALAFU TUMIA SP FLASH KUFLASH HILI FILE unakua unamaanisha nini??NIMEONA WATU WAKIANGAIKA JINSI YA KUTOA FRP KWA TECNO N2 ANDRID 6.0 SASA SOLUTION NI HILI NIMEWALETEA FILE DOGO TU AMBALO LIKO CUSROMIZED LINAWEZA KUTOA FRP KWA SIMU YA TECNO N2 BILA KUPOTEZA DATA
DOWNLOAD FLASH FILE HERE
frp n2(L004).zip
DOWNLOAD ALAFU UNZIP FILE ALAFU TUMIA SP FLASH KUFLASH HILI FILE
PASSWORD: L004
HAPPY FLASHING
L004
ndio download hapaBraza ukisema ALAFU TUMIA SP FLASH KUFLASH HILI FILE unakua unamaanisha nini??
Hiyo SP ni kitu kingine kipya??
Natakiwa niki-download??
Hii inaweza kua ni terminology ya ki ufundi zaidi Braza
Mpe na maelekezo namna ya kuflash mr
Ahsante Mkuu,
Nop winrar ni for free kwa muda lkn hata muda ukiisha utapata winrar ya bure pia http://qpdownload.com/link.php?name=winrar ingia kwa hiyo site pakua na fanya installation kwenye pc yako vema baada ya installation RESTART UR PC ukimaliza anza kuunzip file zote zenye rar kwa kuextract sasa pia uwe na utaalam juu ya hili ..Ahsante Mkuu,
Ngoja nimalizane kwanza na lile Zip file, maana kuna mahali nimeona kama linaniambia sijui winRAR ni ya kununua, sasa ndio nahangaika nione nalifungua vipi. Kwanza sijui hata winRAR ndio Zip au ni nini
Aisee,Nop winrar ni for free kwa muda lkn hata muda ukiisha utapata winrar ya bure pia http://qpdownload.com/link.php?name=winrar ingia kwa hiyo site pakua na fanya installation kwenye pc yako vema baada ya installation RESTART UR PC ukimaliza anza kuunzip file zote zenye rar kwa kuextract sasa pia uwe na utaalam juu ya hili ..
Umekosea kuifungua hii application pole ifunge kwanza please kwa KUCLICK OK then extract file kwa kutumia Right click ya mouse yako then select sehemu ambayo imeandika extract file hakikisha unapoextract ipo kwenye dekstop au ujue uliyoextract umeiweka maeneo gani ..
Ila sijajua unatumia window gani na bits ngapi ilo nikuweke link directly usiendelee kuhangaikaAisee,
Duh,
Ahsante Mkuu,
factory data reset inafuta data zote. ukiflash na official firmware faifuti vitu hata kidogo hasa kwenye cm za samsung.Kwa simu data sio picha, audio, au video pekee... Inaweza ikawa
Factory reset haifuti data kama video l, pictures and audio bali ina futa user application na restore settings ambazo zimekuja na simu.... So ukiflash file zima la N2 litafuta data zote lakini ukiflash Frp file only haitafuta
Nadhani ushaelewa
Yenyewe inaitwa factory settings reset.... Data ni zile za user application ila sio zile ambazo ziko saved kama video au pichafactory data reset inafuta data zote. ukiflash na official firmware faifuti vitu hata kidogo hasa kwenye cm za samsung.