Mkuu kama autojali naomba nielekeze namna ya kupata iyo website maana nimeangalia video ila pale chini sijaona website ya kuondolea iyo background kama ilivosemekanaKifupi ni kuwa njia hii inasaidia kuondoa background bila kutumia programu za ziada zaidi ya zile ambazo tayari kila mtu anazo kwenye simu au kompyuta yake. Na kuhusu ubora njia hii ni bora sana na rahisi kutumia hasa wenye picha zenye watu. MFANO HAPO CHINI.View attachment 1011373View attachment 1011374
Mkuu naomba nielekeze mm nimeshindwa kupata iyo websiteNzuri lkn inaunguza kichwani
website inaitwa = remove.bgMkuu kama autojali naomba nielekeze namna ya kupata iyo website maana nimeangalia video ila pale chini sijaona website ya kuondolea iyo background kama ilivosemekana
Sent using Jamii Forums mobile app
check kwenye video iliandikwa pia, kama hujaona soma comment iliyo tangulia.
Sawa mkuu nimeipata ila kila nikijaribu kuweka picha inarudi mwanzo yan yotube...je?? Kuna procedure zozote za kufanya kabla sijaanza kuweka picha??check kwenye video iliandikwa pia, kama hujaona soma comment iliyo tangulia.
Picha inatakiwa kuwa yenye mtu. Yaani picha za watu na sio vitu.Sawa mkuu nimeipata ila kila nikijaribu kuweka picha inarudi mwanzo yan yotube...je?? Kuna procedure zozote za kufanya kabla sijaanza kuweka picha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kwa kila namna ila naona inaniuliza email comfirmation au mimi nakosea wapPicha inatakiwa kuwa yenye mtu. Yaani picha za watu na sio vitu.
unaweza kutuma hiyo picha unayotaka kuondoa background kupitia inboxNimeanza kwa kuselect image then ikabiletea option ya kuchagua picha nikachagua baada ya kumaliza nikapiga ok ndo ikarudi tena youtubeView attachment 1013496View attachment 1013497View attachment 1013498
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa ilo sidhani kama utakua umenisaidia maana nitataka pia kuedit na zingineunaweza kutuma hiyo picha unayotaka kuondoa background kupitia inbox
Oh oky pole kwa hilo, tuta-jitahidi kuleta uzi mwingine ambao utaweza kukusaidia kwa hilo. Pia unaweza kuanzisha uzi mpya nadhani wapo watu wengi hapa wanaoweza kukupa msaada kwa urahisi.Mkuu kwa ilo sidhani kama utakua umenisaidia maana nitataka pia kuedit na zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kukupm ila naona inagomaOh oky pole kwa hilo, tuta-jitahidi kuleta uzi mwingine ambao utaweza kukusaidia kwa hilo. Pia unaweza kuanzisha uzi mpya nadhani wapo watu wengi hapa wanaoweza kukupa msaada kwa urahisi.
kwa hyo hiyo piCha ndo umeipa jina gan vile hukoKifupi ni kuwa njia hii inasaidia kuondoa background bila kutumia programu za ziada zaidi ya zile ambazo tayari kila mtu anazo kwenye simu au kompyuta yake. Na kuhusu ubora njia hii ni bora sana na rahisi kutumia hasa wenye picha zenye watu. MFANO HAPO CHINI.View attachment 1011373View attachment 1011374
Sijaelewa swali lako mdau
Oh sorry account iko private, tuma kupitia telegram tafuta tanzania tech