Maungamo
New Member
- Jan 11, 2024
- 1
- 12
Mimi ni msichana pekee na mtoto wa mwisho kwenye familia yangu. Nina kaka zangu wawili ila wamenipita kidogo kiumri na siko karibu nao sana kwa sababu tokea nikiwa mdogo, huwa wananiona kama mtoto mdogo na hawapendi kunishirikisha kwenye mambo yao.
Anyways, tukiwa wadogo kaka zangu walikuwa wananitenga muda wa kucheza na mimi kwa kulipiza nilikuwa naingia chumbani kwao na kupekua vitu vyao wakati wao wakicheza. Siku moja nikiwa na miaka 9, nilikuwa napekua chumbani kwao nilikuta wameficha mkanda wa Michael Jackson kabatini kwao. Niliuiba mkanda huo kwani nilikuwa nampenda MJ sana.
Usiku wote wakiwa wamelala, nilienda sebuleni na kuweka mkanda huo kwenye deki na nilishangaa kuona ilikuwa ni movie ya X. Nilitizama kwa kushangaa nikijihisi hisia nisizozijua. Kuanzia siku hiyo nilikuwa nanyemelea usiku na kuendelea kutizama mkanda huo. Niliurudia na kuzoea sana kuutizama na siku moja niliamua kuutizama jioni kwani kila mtu alikuwa bize, ila siku hiyo binamu yangu alinifuma nilitizama sebuleni na akauchukua akinigombeza.
Nilikuwa kama niko addicted na kutizama video hiyo. Niliutafuta kila mahali nyumbani na sikuuona tena. Katika kuutafuta, nilifungua begi la dada yetu wa kazi na nilikuta kitabu chenye title inayosema, 'Njia za kumridhisha mpenzi wako.'
Niliiba kitabu hicho na kuanza kukisoma kila nilipopata muda. Iwe shuleni muda wa mapumziko, nyumbani, usiku... kilielezea jinsi ya kuridhisha wanaume na wanawake. Katika kukisoma, nilijifunza jinsi ya kujichua. Mind you, nilikuwa na miaka 10 tu. Nilianza kujichukua kila siku. Kuna wakati nilikuwa sipati usingizi bila kujichuwa.
Watu wengi wanadhani wavulana tu ndo wanakuwaga na tabia za kujichua ila mimi nilikuwa msichana mdogo na nafanya hivyo kila siku. Niliendelea na hiyo tabia mpaka nafika miaka 20 sijaacha. Nilikuwa bikra bado kwani nilikuwa siweki kitu chochote ndani.
Niseme kwamba kujifunza hii ilifanya nibaki kuwa bikra hadi miaka 20. Na sio kwa sababu nilikuwa sina hamu ya wanaume kama watu wengi watakavyodhani, ni kwamba sikuwa na papara ya kuwa kwenye mahusiano kwa sababu najiridhisha mwenyewe. Hichi kitu kimenikaa sana kichwani na saivi naweza kuwa mama siku yotote hivyo nimeona niseme ili nyie ambao tayari ni wazazi, mchunge watoto wenu. Mimi nilikuwa naonekana mtoto mwema ninayependa kucheza mwenyewe bila kumsumbua mtu lakini hayo ndo niliyokuwa nafanya.
Asanteni. Watu wengine watano wakishea drama zao, nitaungama tena kisa kingine. Maisha yangu yamepitia mambo mengi sana.