karibu,ila kwa mujibu wa kanuni za hapa JF section 5d.,..yafuatayo lazima yazingatiwe..
~tatoo ni marufuku
~wanja wa send off
~kuji cream
~mahereni ya uswazi
nje ya hapo wewe ni very handsome na ingekuwa ni binti tungesema..
~very astounding beautiful