makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,541
mie kaniambia ye ni OTIMBI na wewe ndio OTIMBILIYO wakeMbona anasema hakufahamu?
Tayari, jiwe gizani, sauti za yalaa nishaanza kuzisikia.Kuwa na adabu we mtoto!! Kibuzi??????????
merry-go-roundUmeniacha wapi? Kwani tulikuwa tunakwenda wapiπ€£
Upo wapi babu ππUsisubiri wanitupe, njoo sasa hivi mjukuu. Hata hivyo sijashikwa mkono na mjukuu mda sanaπ
Nipo huku, nikiomba nitapewa au nitanyimwa?Upo wapi babu ππ
Binti acha mbwembwe basi π€ͺhuku ni wapi na mbona nimepaona leo
Omba kwanza mengine utajua huko huko muhimu usiibeNipo huku, nikiomba nitapewa au nitanyimwa?
Umeanza mahubiri πfungua moyo wako na uombe vizuri bila kuchoka, anaangalia dhamira ya moyo wako dhidi ya uombacho π
π π
Hakuna kuremba wala kupoteza muda, na kwa nini unyimwe...π π
Si ndio hapo mie kwakweli ukininyima nachukua mwenyeweHakuna kuremba wala kupoteza muda, na kwa nini unyimwe...
Hapo sawa...Si ndio hapo mie kwakweli ukininyima nachukua mwenyewe