ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,277
- 40,928
Nilitaka nikuite ujue 😅🤣Imagine unamuomba uichape Afu anakuambia Mpaka umpe Pesa wakati yeye amepewa bure 😎
Au anakuzungusha, anakunyima, mpaka unawaza Au hana 🙆
Imagine unamuomba uichape Afu anakuambia Mpaka umpe Pesa wakati yeye amepewa bure 😎
Au anakuzungusha, anakunyima, mpaka unawaza Au hana 🙆
Mbona shamba la urirhi ulilopewa na babu yako huligawi bureeImagine unamuomba uichape Afu anakuambia Mpaka umpe Pesa wakati yeye amepewa bure 😎
Wanawake wanatembea na mgodi, imagine unambembeleza akale pesa zako 🙆Kapewa bure na hakiishi, ila anatoza ushuru. 😊
Kakunyima nini 🤭makaveli10 kaninyima.
Mm ntakupa kama mahari 😎Mbona shamba la urirhi ulilopewa na babu yako huligawi buree
Kapewa bure ulikuwepo🤫Kapewa bure na hakiishi, ila anatoza ushuru. 😊
Wakati unaoandika nilikuona, nilikuwa nimesimama Kwenye daladala then nkakuona kwa nje unatyp Ukiwa kwa gari lako 😎Nilitaka nikuite ujue 😅🤣
Huyo hana itakua Wallah 😃😃
Sasa si ufanye kwa ustadi sio hovyo hovyo 😀Kulombana hovyo hovyo ni kuuchimbua UKIMWI ,
Watu wasiopenda kuomba wachoyo hawataki kuombwasipendi kuomba ,
Hutaki nye nye nyingi Mangi🤣najiepusha na kuomba , kwa sababu sitaki shobo
Sema Wallah 🤭Wanawake wanatembea na mgodi, imagine unambembeleza akale pesa zako 🙆
Kwa nini niombe? Niombe nini kwanza, labda niombe niishie hapaSasa si ufanye kwa ustadi sio hovyo hovyo 😀
Watu wasiopenda kuomba wachoyo hawataki kuombwa
Hutaki nye nye nyingi Mangi🤣
Wanawake wanatembea na mgodi, imagine unambembeleza akale pesa zako 🙆
Hilooooo unaomba nini mkuuMleta uzi naomba 😂,
Mashirima ana taarifa?Kulombana hovyo hovyo ni kuuchimbua UKIMWI , sipendi kuomba , najiepusha na kuomba , kwa sababu sitaki shobo