kuomba msaada toka kwa mpenzi.

wewe ni mwanamke wakisasa hapana kukopa kwa mpenzi wako kwanza wewe sio mke na utamfanya jamaa aone kama vileanalipia bupa. so wewe nenda kakope kwa mashosti wako na sio bf wako sawa. pesa ya mwanaume inaliwa na mwanamke sio kukopeshwa kwa mwanamke

mzabzab mtata wewe! inaliwaje?
 
Last edited by a moderator:
acha ujinga wewe kwa hyo unaliwa tu, hata ya sabuni hpewi we upo mjini kwel?

Kwani apewe ya sabuni ni yeye peke yake ndiyo anachafuka??? Then usawa wa mwanamke na mwanaume mnautaka wa nini sasa???
 

thx dia.. sijawahi
 

kweli jf ni zaidi ya shule.. thx lara 1 ngoja nifanyie kazi ushauri wako..
 
Last edited by a moderator:
mmmmh sio rahisi kiivo bora kufa masikini kwa kweli

Usipozila wewe zikaisha wanazila wenzio atiii wakati wewe mwenye mali umegeuka kopakopa UTD!!!!!!
 
mzabzab mtata wewe! inaliwaje?

sio matata bana...huwezi mkopa mpenzi wako bana. mpenzi anakupa hela naomba ulielewe hilo.
hela ya mwanaume inaliwa na mwanamke kwa kupitia vidate, presents, na so. ni vibaya sana kumkopa mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
Usipozila wewe zikaisha wanazila wenzio atiii wakati wewe mwenye mali umegeuka kopakopa UTD!!!!!!
tuwe sirias lara hivi utamuombaje mtu hela? maybe anipe mwenyewe ila mimi siwezi hata kama sina mia
 

Acha ubabaishaji;
Acha kutuzuga;
Acha ujinga na utoto pia;
Achana na feminism;
U mwanamke;
Na utaendelea kuwa mwanamke​
Tumia haki yako ya msigi ya kuwa mwanamke.
Mungu alikuumba kwa ajili ya Mwanaume;
Wala sio mwanaume kwa ajili ya mwanamke.

Ni haki yako kusaidiwa mahitaji yako ya msingi na mpenzi wake (mwite upendavyo - Buzi, ATM etc).



Ndimi Bazazi!
​
 
tuwe sirias lara hivi utamuombaje mtu hela? maybe anipe mwenyewe ila mimi siwezi hata kama sina mia

Sasa gumu lipi hapo? Si unatext tu! "Dear missing you much! Nimepungukiwa 500,000/= please nijazie nikanunue ila flat screen! Niko dukani hapa naingojea hiyo MPESA! Love you mingiiiiii! Jioni nakuja kulala huko kwako honey, usisahau kuja na kuku wa kuchoma na redds za kutosha"

Baaaaaaaaaaaass! Kigumu kipi hapo sasa? Hapo bait ni kwenda kulala kwake! Asipotuma hiyo hela ajue analala mwenyewe na mito! Nyamaaaaaaaff!
 
aisee assume hana unadhani atajisikiaje?
 

Wow! that is marvelous LARA1
Unaujua udhaifu wa nyamaume wengi wanaofikiri qa kutumia akili ya dhakari
wanapenda kulala na wanawake bila hata kufikiri qa nini wanalala nao
Hawajali hata kama watapata mzigo au simba wapo mazoezini mradi wamelala na wanawake


​
Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
duuu ww wa ukweli yani unaona noma kumuomba bf wako daa endelea kuwa hivyo,maana madada wengi wa mjini ukiwa nae tu anakufanya ww ndio mzazi wake hata hawafikilii mbona baba yake hajampa hayo yote anayotaka ndo aje kupata kwako.dada big up kama ni tatizo la kawaida muite umuelezee usije mwambia kwenye simu atakuona wale wale wa mizinga.
 
aisee assume hana unadhani atajisikiaje?

Atafute anipe ebooooo! Uanaume ndo huo KUMAKE THE IMPOSSIBLE HAPPEN!!!!!!! Mi hizo sina, sina siziendekezagi kabisaaaaa!

Sijui nyie wenzangu! I always take a guy who can afford me! mambo ya kukaaa sina raha kisa hatuna pesa siyataki kabisaaa! I can understand pesa imechelewa ila sio haitopatikana! Loooooh!
 
siwezi kusema chochote maana walioulizwa ni mashosti...na mimi si shosti heheh

unatubania uzoefu bana , basi kachangie ile thread ya inakeraaaa, watu macho yamewatoka, achana na pesa
 
tuwe sirias lara hivi utamuombaje mtu hela? maybe anipe mwenyewe ila mimi siwezi hata kama sina mia

smile hilo la sina hata mia, utatafuta uangukie kwa wazee wa kugegeda huku mpenzi yupo, maramoja moja c dhambi jamani wen there is nid
 

mchaga wako wa tofauti lara, hawazi maduka na mitaji kweli awaze kutimiza matakwa yako
 
mchaga wako wa tofauti lara, hawazi maduka na mitaji kweli awaze kutimiza matakwa yako

Huyu hana tofauti yoyoteee! Bahili mkubwaaaa! Sema ndo kanikuta mie kubwa la maadaui!

I grab his wallet by the balls! Its tough bt not impossible! Anasemaga "Yaani madem zangu wote wa zamani sikuwa nawahudumia hivi aiseee! We mwanamke umenigharimu sanaaaa! Siku ukiniletea ujinga nakucharanga mapanga aiseee!"

I trick him into thinking that its his duty to take care of me or else im lost coz my Father cant afford! Sasa wewe unamwambia bwana wako My dad is an MD! Tuna nyumba 20, mummy anamabotique makubwaa 10 hivi!!!!!!!!! WTF!!!! Then unategemea akupe Pesaaaaaaa!!! Over his deadbody!

Mimi namwambiaga wazazi wangu hawana kazi yoyote mjini hapa, so ndo nakutegemea wewe, sio mii tu, bali sisi ukoo mzima!

Plus hizi pesa nazokula ni haki yangu ya msingi kabisaaa! Nimempa mawazo mengi sana ya kibiahsara yamemnufaishaa so its like he is giving me back my share for putting my brains in his business!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…