Kuolewa na mwanajeshi

naona kama kweli una hicho kichaa,sasa kuulizwa ndio kutukanwa?

Wasipoolewa au wakichelewa kuolewa huwa wanalia sana hawa. Sasa yeye kapata zali anaanza kuleta mbwembwe.
 
Ndo wanajeshi wenyewe hawa kimbiaaa mdogo wangu
Maana Mungu wetu ni Mungu wa majeshi wenzenu wakiolewa na mwanajeshi huko Israel wanahesabu kwamba wanaikaribia pepo, kwa maana wanaolewa kwa Mume anayemtumikia Mungu!
Huku Bongo mnazinguwa! Imeandikwa Mungu ni Mungu wa Majeshi, Kama vipi si wangeandika tu Mungu wa Ukawa au relwe hivi! Mwambie aende akaolewe TRA tu kama anamaindi sana!
 

Hahaa hongera Mkuu dar nilipojenga ,kuna wanajeshi alianza mmoja viwanja vikawa vinauzwa wakaambiana wamejazana hao majirani wanalia wanatembea na wake za watu mpaka ma house girl wa majirani ,kwa sasa nilihamishwa kikazi napata story mbaya kutoka kwa Mpangaji wangu mwanajeshi kampa binti yake ujauzito .Hongera zao wanajeshi wa Israel kwa kujaaliwa busara,hekima na utukufu wa Mungu uu juu yenu vice versa na hawa wa kwetu
 
Mhhh waongo hao mm nina mama ang mdg aliolewa na mjeda sasa yule kaka akaaga anaenda kusoma hko kusoma miaka ikaisha mwsho wa ck kumbe anaishi na mwanamke mwngne ana mimba ivo kuwa makin
 
Mhhh waongo hao mm nina mama ang mdg aliolewa na mjeda sasa yule kaka akaaga anaenda kusoma hko kusoma miaka ikaisha mwsho wa ck kumbe anaishi na mwanamke mwngne ana mimba ivo kuwa makin

Asingekuwa mwanajeshi asingefanya hivyo?
 
We mchunguze jamaa yako kama ameutosheleza mtima wako songa nae mbele huku ukimtanguliza Mungu wako.
 
Ukifika umri wa kuolewa hautoangali kama huyu mwanajeshi au jambazi utoto huo ukikua utaacha
 

Hawa watu wanajisahau xn,alafu kesho atujazie thread humu kwa nn haolewi:what:
 
Hawa watu wanajisahau xn,alafu kesho atujazie thread humu kwa nn haolewi:what:

Kuolewa sio kukurupuka tyu lazima uchunguze na upate views tofauti ili kupata wasaa wa nini cha kufanya nyie mnavomuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu hapo hamumusaidii.
 

Mwisho wa siku wewe ndo mwolewaji na umeshamua iwe hivyo sasa unalileta huku iweje mana mpaka mnafika hapo mmeshazini vya kutosha...ila hao jamaa wana instict za ukicheche balaaa...na wewe ukiwa kicheche jiandae mikanda ya kutosha tuuu...na adhabu za hapa na pale
 
Kwa haya maelezo yako tu achana nae, humpendi na kiapo hutakiweza cha kuishi katika shida na raha, utajiri na umaskini!Huu walakini unakutoa katika hivyo viapo!Tafuta mtu unayempenda ambaye hutawaza mara mbili mtaishije au kazi yake ni ipi!Utakachowaza ni kwa nini anachelewa kukuoa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…