Kuolewa na mimba ina maana gani?

Kuolewa na mimba ina maana gani?

kuondoa shaka kama ni marriage kutokana na love au ni kutokana na pregnancy wangesubiri basi wazae. Lol. Kweli mtu yuko kanisani miguu imemvimba na wengine kikopo pembeni. Otherwise wafanye harusi private maana bi harusi anakuwa mvuto sufuri wakati harusi inatakiwa iwe ni tukio la kukumbukwa. Kuna na wanaozaa kwenye hanimuni....hata mie naona si shwari no matter what.
 
maana yake pekee ni kwamba wameanza kufanyana kabla ya kufunga ndoa kihalali. ni mambo ya kupimana kama vile vifaa 'in between two legs' a.k.a uue na uke vinaendana vizuri, wasije wakaoana wakajikuta haviendani itakuwaje sasa baada ya ndoa? mie sioni kama nijambo baya ila kuingia kanisani na vazi jeupe, (ambalo linawakilisha alama ya usafi), tena mbele ya altar/madhabahu ( kula kiapo mbele za mungu) wakati unajua fika kuwa umezini (ambayo ni dhambi kubwa) hapo ndio pananipa shida
 
Sina uhakika kama umeolewa au la..lakini jinsi inavyoonesha bado..waweza ni correct kama nime "err" coming to the point ndoa haiwezi kua paradiso or whatsoevr hizo ni fairy tales tunazowaachia akina cinderella..life limejawa na uncertainty watu hawana uhakika juu kama ntamuoa huyu ama nin na nin maana ukichunguza waoaji wengi au waolewaji hawakua na uhakika kama wataolewa na hao watu wanaowaona au kuoa hao watu..asilimia nyingi za ndoa ni za bahati mbaya aisee...!!!najua kuna watakao bisha ila mioyoni mwao ukweli wanaujua..so mimba etc etc ni result ya ngono zembe mtu kutaka kujua kama huyu anazaa or whatever meeeen!!! Am done!!!

Nimekusoma na nakubaliana na wewe kwamba baadhi ya watu wameolewa na watu ambao hawakuwa na uhakika watawaoa. Duh,hilo la mimba kuwa bahati mbaya,sikubaliani nalo sana, mmoja wao anajua anachokifanya, either mmoja anapima kama binti anauwezo wa kuzaa na mwingine pengine anabeba mimba ili aolewe....chache sana ni bahati mbaya 100%.
 
Nimekusoma na nakubaliana na wewe kwamba baadhi ya watu wameolewa na watu ambao hawakuwa na uhakika watawaoa. Duh,hilo la mimba kuwa bahati mbaya,sikubaliani nalo sana, mmoja wao anajua anachokifanya, either mmoja anapima kama binti anauwezo wa kuzaa na mwingine pengine anabeba mimba ili aolewe....chache sana ni bahati mbaya 100%.

Nimeolewa, nashukuru Mungu kanijalia a bby boy anamiezi mi5 sasa nina mwaka na nusu sasa kwa ndoa.niliolewa cna mimba and i could even imagine kua na mimba on my bigest day,woooohhh jinc nilivyokua nimepania dat day yani the last thng i needed ni kuto pendeza cku hyo na hvi mimba yangu haikunipenda nilivimba nikawa mweusi kama chungu yani cjui ningekuaje ningeolewa na hali ile yani ncnge weza ruhusu hali hyo itokee kabisaaaa on my big day.namshukuru mume wangu kpenzi hakuwa kama baadhi ya wanaume wa leo wanaotaka mimba kabla ya ndoa he was so patient with me i adore him for this
 
I was the most beautiful pregnant bride on the planet. Kama hanpendi msihudhurie harusi. Watoto ni baraka, whether katengenezwa kabla au baada ya ndoa haina tofauti.
 
Kuolewa na mimba inamaanisha kwamba muolewaji (mke mtarajiwa( alishiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa. Inaweza kuwa alishiriki tendo na huyo mume mtarajiwa au mwanamme mwengine. In short...ni kujidhalilisha sana kwa muoaji na muolewa

Jamani wana JR naomba tusaidiane ktk hli mana najiulizaga cpati jbu, mwez wa pili nikiwa kanisani ktk harusi ya rafiki yangu(yeye alikua hana mimba) ktk ndoa saba zilizofungwa wanawake wa5 walikua wanamimba tena kubwa zakujifungua not moer than miez mi2 au mi3 nikawa najiuliza hvi ni nini haswaaaaaa kina endelea Tanzania hii, au jaman wanaume ndo mwawapresharize wadada au wots the reason.yani mi naona kama haipendez vile mana unakuta mtu kavimbiana mimba imemfanya achukize hata makeup haipendezi tena kanyuka shela yani kasheshe kweli......
 
Nimekusoma na nakubaliana na wewe kwamba baadhi ya watu wameolewa na watu ambao hawakuwa na uhakika watawaoa. Duh,hilo la mimba kuwa bahati mbaya,sikubaliani nalo sana, mmoja wao anajua anachokifanya, either mmoja anapima kama binti anauwezo wa kuzaa na mwingine pengine anabeba mimba ili aolewe....chache sana ni bahati mbaya 100%.
hivi unajua asilimia nyingi sana za mimba hazipangwi hua zinatokea tu amin usiamini..siku moja niliulizaga nilishangaa amini hivyo ni watu wachache sana wanao ambiana daaah twende tkukatafute mtoto mpenzi or whatver the case might be...ni mimba zisizotarajiwa...
 
hivi unajua asilimia nyingi sana za mimba hazipangwi hua zinatokea tu amin usiamini..siku moja niliulizaga nilishangaa amini hivyo ni watu wachache sana wanao ambiana daaah twende tkukatafute mtoto mpenzi or whatver the case might be...ni mimba zisizotarajiwa...

Amini usiamini wanawake wengi wana ufahamu wa kuhesabu na kujua siku ambazo wanaweza kubeba ujauzito. Wanafanya hilo tendo wakijua matokeo yanaweza kuwa nini. So,wazungumzie wanaume wenzio kwenye hili. Ni wanawake wachache sana wanapata mimba kwa bahati mbaya.
 
Hili ni mojawapo ya maswala magumu kidogo. Ugumu unatokana na kwamba, watu wengi hatujui maana ya ndoa na nafasi ya watoto ktk ndoa. Wacha nitoe mifano kadhaa.
1. Kuna jamaa mmoja family friend wetu alioa binti hana ujauzito. Its been 12 years now, bila bila. Jamaa kaenda kupigapiga huko nje naskia kapata mtoto. Ndoa imevunjika juzi juzi.
2. Kuna jamaa mwingine hapa ofisini yeye naye alioa mwanamke hana ujauzito. Its more than 8 years now, bado hawajapata mtoto, ila ndoa yao bado iko imara.
3. Kuna binti mmoja aliolewa na ujauzito wa miezi miwili. Mwezi uliofuata baada ya ndoa akapoteza ule ujauzito. Hadi leo ni miaka mi3 kila akipata ujauzito unatoka.
4. Kuna jamaa mwingine alioa mwaka 2008 msichana hakuwa na ujauzito. Ikapita miaka minne kimya, watu wakaanza kutoa mimacho. Mwaka huu binti kajifungua katoto kazuri tu..
Hiyo ni baadhi tu ya mifano ambayo mimi naifahamu. Nadhani ipo mingi zaidi huko mitaani. Kuna watu wanaoana bila ujauzito, baadae wanapata, wengine hawapati. Kuna watu wanaoana na ujauzito matatizo yanatokea huko mbeleni.
Mtoto ni zawadi toka kwa Mungu. Si vizuri mtoto kutumika kama kigezo cha watu kuoana au kutokuoana. Msichana akishajua kwamba we uko interested na mtoto, na yeye anataka ndoa, ni rahisi kukuingiza mkenge..! Wanaume wengi wakishaona msichana amepata mimba basi wanajiaminisha kwamba wao ni vidume nakukimbilia kufunga ndoa kumbe saa nyingine ni changa la macho.
Wewe kama unataka kuoa/olewa fanya hivyo kwa mapenzi uliyonayo kwa huyo mtu whether or not watoto watapatikana hiyo ni mipango ya Mungu. Nadhani ndoa nyingi zinapokosa mtoto zinapepesuka maana wanaume wengi siku hizi wanaoa "Uterus"!
 
Back
Top Bottom