Jamani wana JR naomba tusaidiane ktk hli mana najiulizaga cpati jbu, mwez wa pili nikiwa kanisani ktk harusi ya rafiki yangu(yeye alikua hana mimba) ktk ndoa saba zilizofungwa wanawake wa5 walikua wanamimba tena kubwa zakujifungua not moer than miez mi2 au mi3 nikawa najiuliza hvi ni nini haswaaaaaa kina endelea Tanzania hii, au jaman wanaume ndo mwawapresharize wadada au wots the reason.yani mi naona kama haipendez vile mana unakuta mtu kavimbiana mimba imemfanya achukize hata makeup haipendezi tena kanyuka shela yani kasheshe kweli......