Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,069
na ana spidi nzuri kweli!.....Alipiga kili moja na nusu! Usishangae nusu aliipata wapi! Fidel alienda msala nabii akamsaidia!
na ana spidi nzuri kweli!.....Alipiga kili moja na nusu! Usishangae nusu aliipata wapi! Fidel alienda msala nabii akamsaidia!
Kaka mmefanya uchunguzi vizuri kweli kama alikuwa mchungaji origino maana mchungaji + bia = MOTONIAlipiga kili moja na nusu! Usishangae nusu aliipata wapi! Fidel alienda msala nabii akamsaidia!
Alipiga kili moja na nusu! Usishangae nusu aliipata wapi! Fidel alienda msala nabii akamsaidia!
Kaka mmefanya uchunguzi vizuri kweli kama alikuwa mchungaji origino maana mchungaji + bia = MOTONI
Duniani??? mbona wako wengi tu wasiokunywa eg Lily FlowerLily maua unaharibu hapa. Hakuna mtu duniani asiyekunywa pombe.
Duniani??? mbona wako wengi tu wasiokunywa eg Lily Flower
mpwaa,Pombe ni kilevi kilevi ni alchol, alchol iko kwenye bidhaa nyingi sana including mvinyo ya kanisani. Madawa ya hospital et etc.
Naogopa asije akaniambia tuondoke kesho asubuhi kuelekea Kabul nawaogopa sana hawa jamaa